Duniani

Top 10 ya nchi zinazoongoza kwa rushwa Duniani 2017, 5 zinatoka Afrika

on

Nchi zote duniani zinapinga na zinahakikisha zinapambana ili kutokomeza rushwa kwenye nchi husika, licha ya mapambano hayo bado zipo nchi duniani ambazo rushwa inatajwa kukithiri. Nimekutana na hii list ya nchi 10 duniani ambazo rushwa imekithiri kwa mwaka 2017, katika list hiyo tano ni kutoka Afrika.

10: Eritrea

9: Sudan Kusini

8: Uzbekistan

7: Venezuela

6: Libya

5: Iraq 

4: Afghanistan

3: Somalia

2: Sudan

1: Korea Kaskazini

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa BONYEZA PLAY HAPA CHINI 

 

Soma na hizi

Tupia Comments