Top Stories

PICHA 15: Waziri Mwakyembe,wasanii walivyojitokeza Kongamano la Waigizaji

on

Leo Aprili 15, 2019 limezinduliwa Kongamano la Waigizaji Tanzania kwa ajili ya kuwaongezea uelewa kwa kazi wanayoifanya ambapo Ayo Tv na Millardayo.com imekukusanyia picha 15 za matukio wakati wa uzinduzi wa Kongamano hilo

UTACHEKA: WAZIRI MWAKYEMBE ALIVYOWASEMA WAIGIZAJI “JITAMBUENI, MLEVI NYWEA KWAKO”

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments