Habari za Mastaa

Imenaswa video Rose Muhando akiimba baada ya kutoka hospitali

on

Leo April 15,2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Rose Muhando ameonekana akiwa imara baada ya miezi kadhaa iliyopita kusambaa kwa video yake iliokuwa ikimuonyesha akifanyiwa maombi nchini Kenya na kusambaa kwa taarifa zilizodai kuwa anasumbuliwa na maradhi tofaut itofauti.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho video ikumuonyesha Rose Muhando akiwa imara na kusemekana kuwa ametoka hospitalini mjini Nairobi nchini Kenya, sasa afya yake imeimarika sio kama ilivyokuwa awali.

VIDEO: BARAKA MAGUFULI ALIVYOKUTANA NA JPM | ANAWEZA KUIGIZA SAUTI YA LOWASSA “HAKUNIPA KITU”

Soma na hizi

Tupia Comments