Top Stories

UTAFITI: Kufikia 2040 China itakuwa imefikia hatua hii ya teknolojia ya magari

on

China imeripoti kuwa katika mkakati wa kupiga marufuku matumizi magari ambayo yanatumia mafuta ya petroli na dizeli na kutambulisha magari yanayotunia umeme ili kupunguza tatizo la uchafuzi wa hewa yaani ‘Air Pollution’.

Kwa sasa Serikali ya China, Wanasayansi na wataalamu wanafanya utafiti wa kuwezesha suala hili ambalo linatarajiwa kuanza kutekelezwa ifikapo mwaka 2040 na teknolojia hii inatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa sana kwenye maendeleo ya viwanda duniani.

Nchi nyingine zenye mpango kama huu wa kuacha kutumia magari ya mafuta ni pamoja na Uingereza na Ufaransa.

ULIPITWA? Navy Kenzo wametuonyesha nyumba yao ya milioni 700 ilipofikia

Hii je?BREAKING: Kinachoendelea kuhusu kupigwa mnada nyumba

Tupia Comments