Top Stories

UFAFANUZI: Taarifa ya Bunge kuhusu aliyeratibu safari ya Tundu Lissu Kenya

on

September 14, 2017 taarifa kutoka ofisi ya Bunge imetoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Spika Job Ndugai aliyitoa mapema leo Bungeni kuhusiana na suala la matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu tofauti na maelezo yanayotolewa na baadhi ya wanasiasa.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa utaratibu wa kumsafirisha Tundu Lissu kwenda Kenya kwenye matibabu uliratibiwa na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge Salim Hassan Turky ambaye alidhamini taratibu za safari ambazo Bunge ilisaidia tofauti na zinavyoripotiwa na baadhi ya watu kwenye mitandano ya kijamii.

“Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?” – Job Ndugai

‘Zitto utanifanya nini? ninaweza kukuzuia usiongee hadi mwisho wa Ubunge wako” – NDUGAI

Soma na hizi

Tupia Comments