Top Stories

HATUA KWA HATUA! RC Mwanza alivyotumia saa 9 kuhudumia wananchi 208

on

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela leo September 14, 2017 ameendelea na ziara yake kuwafata wananchi na kuwasikiliza matatizo yao na mara hii ilikuwa zamu ya wakazi wa Wilaya ya Nyamagana ambapo alitumia saa 9 kusikiliza na kutatua kero zao za ardhi.

RC Mongella akiwa na Watendaji wa Idara ya Ardhi Halmashauri ya Jiji la Mwanza, walihudumia kwa kuwasikiliza wananchi 208 waliokusanyika katika Uwanja wa Ghandhall kwa saa 9.

Tazama kwa kuplay kwenye hii video hapa chini kutazama hatua kwa hatua RC Mongella kazipitia kusikiliza kero za Wananchi wa Wilaya ya Nyamagana.

MWANZO MWISHO! RC Mwanza alivyoamua kufanya kazi usiku nje ya ofisi

BREAKING: RC Mwanza kamsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi wa Jiji

RC MWANZA! Kaacha tena ofisi kuwafuata Wananchi, unamweleza changamoto zako

Soma na hizi

Tupia Comments