Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

LIST: Watanzania walioshinda tuzo za HIPIPO 2017 Uganda

on

Tuzo za Hipipo Awards ni tuzo za muziki zinazotolewa kwenye nchi ya Uganda ambapo zimefanyika February 4 2017 Kampala Uganda.

Baadhi ya Watanzania walioshinda tuzo hizo ni Navykenzo kwenye Best New Act, Alikiba ameshinda tuzo mbili kupitia Unconditional bae aliyofanya na Sauti Sol wa Kenya na pia wimbo huohuo umechukua tuzo ya wimbo bora wa mwaka kwa Kenya na East Africa Super Hit -Unconditionally Bae

Diamond Platnumz ameshinda tuzo mbili, Quinquennial Africa Music Vanguard na East Africa Best video -Salome

VIDEO: Tazama alichosema P Funk baada ya kuona mitandao inasema video ya mapenzi inayosambaa ni ya mtoto wake Paula, bonyeza play hapa chini

Video: MAJIBU YA WOLPER KUHUSU LILE POVU 40 YA NILLAN>>>

Soma na hizi

Tupia Comments