Habari za Mastaa

D’Banj hajachelewesha mambo, kaona atusogezee na hii video mpya- Knocking On My Door!! – (Video)

on

dbanj2

Ni siku chache tuu zimepita toka D’banj aachie wimbo wake wa Knocking On My Door na sasa video ya wimbo huo imetoka. Director wa video hii ni Moe Musa na D’Banj mwenyewe.

Kwa sasa D’Banj yupo Durban South Africa kwa ajili ya tuzo za MTV Africa Music Awards 2015.

Nimekusogezea video wa wimbo huo hapa chini, bonyeza play kuitazama.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments