Top Stories

DC Handeni awageukia Wanaume ‘Acheni kushika simu za wake zenu, unachunguza nini?’

on

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe amewataka wanaume wilayani humo kuachana na tabia za kusoma SMS za wake zao.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu alichozungumza Mkuu huyo wa Wilaya.

 

Tupia Comments