AyoTV

VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni baada ya kumuuliza swali Waziri mkuu

on

Vikao vya bunge vimeendelea tena leo November 3 2016 Dodoma, Mbunge wa Hai (CHADEMA) ambaye ni kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe aliuliza kwa Waziri mkuu kuhusu kikao kilichofanyika October 25 2016 cha Wabunge wa CCM na wakapewa zawadi ya shilingi milioni 10.

VIDEO: Ulizikosa Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu Wizara ya fedha? tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments