Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

PICHA 14: Baadhi ya picha za watu mbalimbali walivyohudhuria droo ya AFCON 2019

on

Hizi ni baadhi ya picha kutoka Cairo Misri inapofanyika droo ya upangaji wa Makundi ya michuano ya mataifa ya Afrika 2019 (AFCON 2019), droo hii itapanga makundi 6 yenye jumla ya timu 24 na Tanzania ikiwemo, Tanzania inaenda kushiriki fainali hizo kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39 kupita.

Timu hizo 24 zilizofuzu ambazo zitapangwa katika makundi 6 yenye jumla ya timu nne kila kundi, hizi ndio timu zote 24 zilizofuzu Senegal, Madagascar, Morocco, Cameroon, Mali, Burundi, Algeria, Benin, Nigeria, South Africa, Ghana, Kenya, Zimbabwe, DR Congo, Guinea, Ivory Coast, Angola, Mauritania, Tunisia, Misri, Guinea-Bissau, Namibia, Uganda na Tanzania.

Rais Karia kaiomba kamati ya RC Paul Makonda kuhamishia nguvu kwa Serengeti Boys

Soma na hizi

Tupia Comments