Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Haya ndio Makundi yote sita ya AFCON 2019, Tanzania imepangwa Kundi C

on

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu leo ndio imejulikana timu zote 24 zitakuwa Kundi gani katika fainali za AFCON 2019 zitakazofanyika nchini Misri, Tanzania ambayo inashiriki kwa mara ya kwanza fainali hizo baada ya miaka 39, imepangwa Kundi C na timu za Senegal, Algeria na Kenya.

Fainali hizo za AFCON 2019 ndio kwa mara ya kwanza mwaka huu zinashirikisha jumla ya timu 24 kutoka 16 zilizokuwa zinashiriki miaka ya nyuma, AFCON 2019 itaanza June 20 2019 mchezo wa ufunguzi ukiwa wa Misri wenyeji dhidi ya Zimbabwe na kumalizika July 19 2019.

Rais Karia kaiomba kamati ya RC Paul Makonda kuhamishia nguvu kwa Serengeti Boys

Soma na hizi

Tupia Comments