Itakuwa sio mara yako ya kwanza kuona jina la Simba likitumika katika post za Diamond Platnumz hasa kupitia mtandao wa instagram, sasa leo Dec 28 Mr Blue kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika madai na kusema kuwa ndio mwanzilishi wa idea wa jina la Simba.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliandika madai hayo kwa kusema…’Naikumbuka hii post niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba…ila inanishangaza kuona baada ya muda watu wengi wakijiita jina hili …hiii inanionesha kuwa mi ni mbunifu wa hali ya juu..na watu husubiri mimi nifanye ili waige….#mfanowakuigwa‘ – @mrbluebyser1988
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.