Habari za Mastaa

Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio)

on

Musa Hussein leo kaikamata U Heard, na kibao kimegeuka pia mtu wangu !! Kama ulivyozoea Soudy Brown anavyowabana wengine kuhusu stori za chinichini leo kageuziwa kibao, ishu ni yeye na Ruby.

Musa kamcheki Soudy Brown na kuanza kumhoji kuhusu tetesi za jamaa kuwa na uhusiano na RubySoudy kakataa kabisa yani kuhusu hiyo ishu japo Musa kambana sana kwamba kwanini atajwe Soudy na sio mtu mwingine ?!

Mwanadsm Musa Hussein anakwambia muosha huoshwa, leo kaoshwa Soudy Brown na ni siku ya birthday yake… Happy Birthday Gossip Cop, na U Heard yake hii hapa kwenye sauti niliyokurekodia mtu wangu uliyepitwa !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments