Top Stories

Jinsi shambulio la kigaidi lililoua maelfu Marekani, lilivyo zaa Penzi

on

Wapenzi wawili Brielle Saracini and Sean McGuire ambao baba zao walikufa kwenye shambulio la kigaidi la September 11, 2001 lililofanywa katika majengo marefu kwenye Kitu cha Biashara cha Dunia (WTC) New York Marekani wamefunga ndoa.

Wawili hao walikutana kwenye camp iliyoandaliwa kuwaleta pamoja watoto wote wa watu waliokufa kwenye mashambulio hayo ya September 11 miezi michache baada ya ugaidi huo kutokea ambapo wote wawili walikua na umri wa miaka 10 na wanafunzi wa shule ya msingi na baada ya hapo walianzisha urafiki.

Baba mzazi wa Brielle aitwaye Victor Saracini, 51, alikuwa Captain wa ndege ‘United Flight 175’ iliyogonga jengo la kusini kwenye kituo hicho cha WTC kwenye ghorofa ya 84 wakati baba wa Sean, Patrick McGuir ,40, alikua kazini kwenye moja kati ya ghorofa za jengo hilo.

Image result for Brielle Saracini and Sean McGuire

Image result for Brielle Saracini and Sean McGuire

Ulipitwa na hii?Alikiba amefunguka ilipotokea ‘Seduce Me’

Hii je? Harmonize baada ya post ya Wolper instagram

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments