Pichaz kwenye Birthday ya Diamond Platnumz, nyumbani kwake Dar es Salaam..
Share
3 Min Read
SHARE
September 21 2015 story kwenye headlines ilikuwa party ya mtoto Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarina Hassan aka Zari the Boss Lady.. party nyingine ilikuwa jana hapohapo nyumbani kwa Diamond, nimezipata pichaz na nimeona nizisogeze hapa na wewe usipitwe na hii !!
Diamond pamoja na ndugu zake na baadhi ya washkaji zake wa karibu walikutana kwa ajili ya sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond Platnumzmwenyewe.
Diamond Platnumzna Producer Tudd Thomas wakicheki kitu kwenye simu..Designer wa Diamond Platnumz, anaitwa Q Boy Msafi na mtu wake pembeni !!...........Producer Tudd Thomas, TID na Alawi JuniorHapo ni Diamond Platnumzna Manager wake Babu Tale, time ya kupata msosi..Kwenye pozi la pamoja, Raymond wa Tip Top, Diamond na Q Boy.Diamondna Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.Kwenye list ya walioalikwa, alikuwepo pia AYBirthday boy hakwepi kuogeshwa..!!Happy birthday Harmonize, yeye anasherehekea siku ya kuzaliwa October 03.. kwa sababu party ilikuwa usiku, tarehe 03 ikamkutia hapohapo.. akina Queen Darleenwakamalizana nae!!Mzuka ukampanda Mnyama TID baada ya ngoma yake kupigwa, ikafatia show ya nguvu kwenye meza ya kaunta !!.Keki ya birthday ikaanza kuliwa humohumo kwenye swiming pool.Diamond na watu wake, pembeni ni Queen Darleenna Mwigizaji Rose Ndauka.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? Kama unatumia Mtandao wa tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTER FBYOUTUBE