Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad amesema kuwa katika ukaguzi wake maalum wa ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini umebaini kwamba Jeshi hilo lililipa Jumla ya Shilingi billion 16 bila kuwepo na ushahidi wa uagizaji na upokeaji katika bohari kuu.
DADA MEMBE ALIYESABABISHA HASARA YA BIL.2 KWA UDART AFIKISHWA KORTINI