Mix

Chonde chonde, ulevi noma.. Jamaa kakutwa hata hajielewi yani !!

on

CDCOyijVAAAZHumDon’t drink and drive..’ sawa hilo somo jamaa alilielewa sana tuu, akaenda zake kupata kinywaji ishu ikawa jinsi gani atarudi home??

Ilikuwa ni kama bahati yake tu kukutwa na gari za doria za Polisi ambao walimkuta mida ya saa kumi usiku, hajielewi.. amelewa sana alafu kalala katikati ya barabara.. hakuwa na jeraha lolote la kuumizwa wala hakugongwa, kilichomfanya aanguke katikati ya barabara ni ulevi.

Jamaa aliwaambia Polisi  kwamba alitumia usiku wote kulewa, hata hapo alipo hajui kafikaje yani..!!

Ishu metokea New Zealand, ilibidi Polisi wambebe kumpeleka nyumbani kwake.. Polisi wamesema walevi wengi ni waathirika wa matukio ya kukabwa na kuibiwa usiku.

Drunkman ZEALAND

Umewahi kukutana na tukio gani mtu wangu na wewe ukasema ulevi noma? Nitafurahi kuona utakachoniandikia kwenye comment yako..

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments