AyoTV

VIDEO: Jionee mjengo aliojizawadia Zari kwenye siku yake ya kuzaliwa

on

Ni Headlines za mrembo na Mjasiriamali, Zari The Boss Lady ambae kwenye siku yake ya kuzaliwa alijizawadia nyumba aliyoinunua mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.

Sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com zimekusogezea ujionee muonekano huo kwa ndani mpaka nje jinsi ulivyo

Soma na hizi

Tupia Comments