AyoTV

VIDEO: Ilipokuwepo Club Bilicanas, kabla na baada ya kubomolewa

on

January 7 2017 zilitoka taarifa za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuanza kubomoa jengo la iliyopokuwepo Club maarufu ya Bilicanas na ofisi za Free Media yenye gazeti la Tanzania Daima ikiwa ni kampuni inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe.

Eneo la jengo hilo ni makutano ya barabara ya Mkwepu na Indira Gandhi Dar es salaam ambapo ubomoaji umeshamalizika na unaonekana hivi kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments