Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Daraja la Dumila lasombwa na maji baadhi ya majengo ya Shule yafunikwa.
Share
Notification Show More
Latest News
Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
September 22, 2023
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
September 22, 2023
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Daraja la Dumila lasombwa na maji baadhi ya majengo ya Shule yafunikwa.
Mix

Daraja la Dumila lasombwa na maji baadhi ya majengo ya Shule yafunikwa.

January 22, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

latest 2Habari zilizosambaa tangu asubuhi kuwa Daraja la Dumila lililopo mkoani Morogoro ambalo ni barabara ya Dodoma – Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo.

Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Morogoro yameamua kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.

Kutokana na mvua hiyo madarasa katika Shule ya Msingi Magole, Dumila, Morogoro nayo yamefunikwa na maji na wanafunzi kuamua kujiokoa kwa kupita madirishani. Mpaka sasa hali bado si nzuri eneo hilo la Dumila wilayani Mvomero.

Taarifa iliyopo ni kwamba Serikali imeamua kuifunga hiyo barabara kwa muda.

 

 

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

Millard Ayo January 22, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hii ni kauli ya Nay wa mitego baada ya mshindi wa BSS 2013 kuonyesha mali alizonunua
Next Article Picha za ajali iliyoua wanafunzi watano Mtwara leo Jan 22 pamoja na taarifa kamili.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
Top Stories September 22, 2023
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
Top Stories September 22, 2023
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 21, 2023

September 21, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 19, 2023

September 19, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 19, 2023

September 19, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 18, 2023

September 18, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?