Pesa yake sio ndogo mpaka kulimiliki lakini ukiwa nalo ndio utaona faida zake, linaitwa RV likiwa ni basi ambalo ndani yake kuna vitu ambavyo vinapatikana kwenye nyumba za kuishi, ni zuri kutumika kwa wale wanaosafiri kwenye shughuli za kitalii au matembezi ya sehemu hadi sehemu, haihitaji ulale hotelini…. kila kitu unamalizia ndani manake kuna choo, bafu, jiko na hata chumba cha kulala.
Gharama ya kulipata hili Basi ni Dola 219,450 ambazo zinagusa mpaka Milioni 473za Kitanzania, unaweza kutazama hii video hapa chini uone inavyokua.