Siku za weekend ni kawaida watu kushinda nyumbani na familia au kuwa sehemu wakibadilishana mawazo, wengine hutumia muda huo kutembelea ndugu na jamaa.. lakini Sikukuu kuna kitu huwa kinakuwa tofauti, wapo wanaopendelea kwenda sehemu za kuenjoy zaidi.
Ripota wa millardayo.com amepita baadhi ya maeneo ambayo watu wengi wa Dar wanapenda kwenda kuenjoy siku za Sikukuu, camera imezinasa hizi pichaz za Coco Beach kwanza !!
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.