Fashion Designer wa Bongo Ally Rehmtullah amekuwa mmoja ya wachache ambao wako TOP kwenye masuala ya fashion Tz, jina lake sio geni kwetu pamoja na kazi anayoifanya.
Rehmtullah ameandaa show ya ELEGANZA itakayofanyika March 21, 2015 Dar es Salaam, Kampuni ya Mawasiliano ya VODACOM imedhamini event hii na safari hii itakuwa ikirushwa LIVE mtandaoni kupitia hapa> www.ar.co.tz