Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Benjamin Wa Mambo Jambo amerudi…alikuwa anafanya nini?

on

Mwimbaji mkongwe wa Bongofleva Benjamin wa Mambo Jambo amefunguka kwenye EXCLUSIVE ya Ayo TV na millardayo.com na kueleza ukimya wake wa muda mrefu akisema masomo yalimuweka busy akisomea Film Production.

Kabla ya kwenda masomoni Benjamin alianzisha kampuni ya Video Production ambapo alifanya kazi na mastaa mbalimbali wakimewo Ben Pol, Mataluma, Ney wa Mitego.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story..

FULL VIDEO: Mapokezi ya Rayvanny DSM baada ya kushinda BET

Soma na hizi

Tupia Comments