Prof Anna Tibaijuka alipokuwa Waziri wa Ardhi alikuwa na plan nzuri ya kusaidia kudhibiti athari za mafuriko katika mkoa wa Dar es salaam kwa kutumia master plan ya mwaka 1979 lakini alishindwa kutokana na mfumo wa kisiasa ulivyokuwa
“Nilipokuwa Waziei wa Ardhi nilijitahidi kuokoa bonde la mto msimbazi ambalo ndio njia kuu ya kupeleka maji baharini lisiendelee kujengwa kwa mujibu wa sheria ya Master plan 1979 lakini sikufanikiwa kwa sababu za kisiasa”
Majibu ya Spika kuhusu kumnyang’anya Mbowe gari lake