Top Stories

‘Kutumia dumu kuokoa ni kosa kubwa’-Jeshi la zimamoto na Uokoaji

on

Takribani siku tatu kumekuwa na mvua zinazoendelea kwenye jiji la Dar es salaam na leo April 17, 2018  asubuhi imesambaa video fupi ikimuonyesha mtoto aliyekuwa akiokolewa kwa kutolewa juu ya paa la nyumba kwa kutumia dumu.

Kamishna wa usimamizi wa kikosi cha uokoaji amesema aina hiyo ya uokoaji si salama hivyo wananchi wanapaswa wapige simu Jeshi la zimamoto na uokoaji ili wafike kwa ajili ya shughuli hiyo.

Hali ni mbaya Jangwani…. nyumba zazungukwa na maji (video)

Soma na hizi

Tupia Comments