Zimebaki siku 2 kufikia uzinduzi wa album mpya ya rapper Fetty Wap, lakini wakati tukiwa tunasubiri ujio wa album hiyo Fetty Wap anaisogeza kwetu video ya wimbo wake “My Way” aliomshirikisha Monty… kizuri zaidi kuhusu wimbo huu ni kwamba utapatikana kwenye tracklist ya album yake mpya ambayo tunaambiwa itakuwa na nyimbo 10 kali kwa ajili ya mashabiki wake.

Video ya ” My Way” imenifikia tayari na ningependa nikushirikishe na wewe kwenye kuitazama pia, na kama bado hujafanikiwa kukutana na video hiyo kokote basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.
Get More:
Fetty Wap, My Way, Music, More Music Videos
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE