AyoTV

VIDEO: Maneno ya JK kwa waliosema chama kingemfia

on

Rais mstaafu wa Tanzania katika awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete amezungumza mbele ya wanachama wa chama cha mapinduzi CCM wakati akitangaza kumkabidhi rasmi uenyekiti wa chama hicho Rais John Pombe Magufuli ambapo Kikwete amesema wapo watu walikuwa wakiongea kuwa chama kingemfia mikononi.

ULIIKOSA HII YA KAMANDA WA POLISI KUONGELEA KUHUSU MTANZANIA ALIYEWEKWA REHENI PAKISTANI

Soma na hizi

Tupia Comments