Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: FIRSTFIVE: List ya kwanza ya wanasoka waliotajwa kuwania Tuzo ya Ballon D’Or
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > FIRSTFIVE: List ya kwanza ya wanasoka waliotajwa kuwania Tuzo ya Ballon D’Or
Sports

FIRSTFIVE: List ya kwanza ya wanasoka waliotajwa kuwania Tuzo ya Ballon D’Or

October 24, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Leo Jumatatu October 24, 2016 Mtu wangu nakuletea List ya kwanza yenye majina ya wanasoka mastaa watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Ballon D’Or. Tayari majina ya kwanza ya wanasoka wanaofanya vizuri kwenye game yametajwa huku Cristiano Ronaldo na Garret Bale wakiwemo.

Mastaa hao kutoka Club ya Real Madrid wanaungana na wanasoka wengine Sergio Aguero, Pierre-Emerick Aubameyang pamoja na Gianluigi Buffon kwenye list ya wanasoka 30 watakaowania tuzo hii kubwa kutoka FIFA.

Tuzo hii ya Ballon d’Or pamoja na ile ya FIFA World Player of the Year ziliunganishwa mwaka 2010 na ikapatikana tuzo moja ya FIFA Ballon d’Or, lakini muungano wa tuzo hizi unaisha mwaka huu, na kila moja itakua ikitolewa kivyake.

ULIMISS MAJIBU YA WAZIRI CHARLES MWIJAGE KUHUSU TANZANIA YA VIWANDA? NIMEKUWEKEA HAPA

You Might Also Like

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

TAGGED: BALE, Cristian Ronaldo
Admin October 24, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Mayunga ameeleza alivyopewa wimbo siku moja kabla ya kurekodi na Akon
Next Article Umeona alichokipost Chris Brown kuhusu Wizkid Instagram?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?