Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichokiandika Miss TZ 2004 Faraja Nyalandu kuhusu mke wa Trump
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Alichokiandika Miss TZ 2004 Faraja Nyalandu kuhusu mke wa Trump
Mix

Alichokiandika Miss TZ 2004 Faraja Nyalandu kuhusu mke wa Trump

January 21, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Miss Tanzania 2004 Faraja Nyalandu ambaye ni mke wa zamani wa Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu ni miongoni mwa waliofatilia kwa karibu kuanzia uchaguzi wa Urais Marekani ambapo baada ya Trump kuapishwa jana ameyaandika yafuatayo.

‘Mwaka 1996 Melania Knavs akiwa na miaka 26 aliingia Marekani akiwa na ndoto ya kuwa mwanamitindo, jana,akiwa ni Melania Trump, alishika Biblia aliyotumia kuapa Rais wa 45 wa Marekani, Rais Donald Trump.’

‘Ukiniuliza kama alidhani kuna siku angesimama Capitol Hill kwenye uapisho wa Rais kama Mke wa Rais wa Marekani, nitakwambia hapana….. lakini ndivyo Mungu alivyo.’

Faraja

‘Leo hii huitaji kumheshimu Melania Trump ila utaheshimu mamlaka yake, na kwakuwa amekalia hicho kiti chenye mamlaka, utajikuta unamheshimu tu, unaweza kudhihaki historia yake lafudhi yake au hata kazi aliyokuwa anafanya ila Mungu keshampa kibali cha kuwa hapo’

Hata huyo Askari ukute alimpigia kura Hillary ila anajikuta akitii mamlaka ya Melania, Kiongozi anaweza akatoka sehemu chakavu isiyo na tumaini, chini, mwisho kabisa… Kumbuka hata Bwana Yesu alizaliwa katika zizi la ng’ombe.‘

‘Mungu anaweza kumuinua mtu usiyemtarajia na kumfanya mtawala wako, Mungu anaweza kukuinua wewe usiyejidhania na kukuweka mahali pa juu, mipango yake si kama yetu, usidharau mtu yeyote na muhimu usijidharau, njia zake si kama zetu #TujifunzeKitu #BeHumble‘

EXCLUSIVE: Ulipitwa na Barua aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff aliyefungwa gerezani China? bonyeza play hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: Marekani, TZA HABARI
Admin January 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Maamuzi ya Jammeh baada ya kuandamwa sana aachie madaraka Gambia
Next Article Spika Ndugai leo kathibitisha kupokea barua ya Mbunge kujiuzulu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?