Top Stories

BREAKING: Waziri wa Maji avunja Bodi za Wakurugenzi Majisafi na Usafi wa Mazingira za mikoa hii miwili

on

Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe amezivunja Bodi za Wakurugenzi za Majisafi na Usafi wa Mazingira za mikoa miwili.

Bodi hizo ni za Jiji la Arusha yaani AUWSA na ile ya mkoani Musoma ya MUWASA na kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Kitila Mkumbo, Waziri Kamwelwe amevunja bodi hizo baada ya kutoridhishwa na utendaji wake.

NGUO FUPI: “Jamani jamani… hatuwezi kutembea na futi mitaani” – TIBAIJUKA

Maamuzi ya Serikali ya TZ kuhusu meli zilizokamatwa na dawa za kulevya na silaha

 

Soma na hizi

Tupia Comments