AyoTV

VIDEO: Florah kuhusu kumualika harusini mume wa zamani na kumzidi umri mume mpya

on

April 30 2017 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Madame Flora (zamani Flora Mbasha) alirudi kwenye headlines baada ya kufunga ndoa kwa mara ya pili baada ya kuachana na mume wake wa zamani (Emmanuel Mbasha).

Sasa comment zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na umri wa mume wake wa sasa aitwae Daudi na wengine wanasema haiwezekani kwa Mkristo kufunga ndoa ya pili, mengine ni kuhusu kumualika Mume wake zamani kwenye harusi, maswali yote kayajibu kwenye hii Exclusive Interview hapa chini.

Ulimiss Flora Mbasha kaolewa tena….tazama ndoa ilivyofungwa itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments