Michezo

Video: Headlines za Mayweather kumpiga Big Show wa Mieleka lakini kwasua sua

on

Ni Bondia kutokea nchini Marekani Flod Mayweather ambae miaka kadhaa aliwahi kuziandika headlines kwenye mchezo wa Mieleka unaoitwa WWE baada ya kumpiga Big show ndani ya dakika 10 alizozitumia ulingoni.

Ukiitazama hii video hapa kuanzia dakika 6 inamuonesha Mayweather alipigwa kipigo kikali na Big Show huku mashabiki walihisi Mayweather ameshindwa mchezo huo lakini ndani ya dakika 10 aliibuka kuwa mshindi katika pambano hilo lililofanyika mwaka 2012.

Itazame hii video hapa ujionee Floyd Mayweather alivyopata ushindi lakini kwa kusua sua sana.

Soma na hizi

Tupia Comments