Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hukumu iliyotolewa kwa muathirika wa UKIMWI aliyenajisi watoto 100
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Hukumu iliyotolewa kwa muathirika wa UKIMWI aliyenajisi watoto 100
Mix

Hukumu iliyotolewa kwa muathirika wa UKIMWI aliyenajisi watoto 100

November 23, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Siku chache baada ya kuripotiwa taarifa za kukamatwa kwa mwanaume mmoja kutoka Malawi ambaye inadaiwa alikuwa akiwanajisi watoto wadogo wanaotajwa kufika 100 kwa maelezo kwamba anawasafisha na kufanya tambiko la kimila, Hatimaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili.

Hukumu hiyo imeonesha kutotenda haki kwa watoto hao kutokana na uchache wa miaka aliyofungwa mwanaume huyo. Tayari mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa hukumu hiyo

Michael Chipeta, wakili na mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini humo amekosoa hukumu hiyo na kusema kuwa kulikuwa na mapungufu mengi katika mchakato mzima wa kesi na hukumu dhidi ya mwathirika huyo wa virusi vya HIV, anayejulikana kama Eric Aniva mwenye umri wa miaka 45.

Eric Aniva alikiri kwamba amefanya ngono na wasichana wadogo kwa kulipwa fedha ambazo ni dola nne mpaka saba za Marekani kwa kuondoa usichana wa (kubikiri) kila mtoto mmoja, kwa imani kuwa ubikira ni mkosi na kwamba kitendo hicho kinawasafisha watoto hao pamoja na jamii hiyo.

Malawi ni katika nchi zenye maambukizi makubwa ya virusi vya Ukimwi duniani.

VIDEO: Ilikupita hii ya majibu ya Daktari kuhusu vipimo vya Kijana aliyetobolewa macho Buguruni, Paul Makonda ameyaweka wazi. Tazama hapa.

You Might Also Like

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TAGGED: Afrika, malawi
Admin November 23, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kauli za RC Makonda alipoanza ziara yake Ilala leo Nov 23 2016
Next Article VIDEO: RC Makonda apiga marufuku wauza mbogamboga na samaki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?