Producer wa smash hits kadhaa za bongo ikiwemo ‘make me sing’ ya Diamond Platnumz na rapper AKA wa Afrika Kusini Tudd Thomas, ameweka wazi kuwa msanii wa siku nyingi wa bongofleva Marlaw anatarajia kuachia album yake mpya yenye nyimbo 12.
AyoTV na millardayo.com zimempata Tudd Thomas na kuyasema haya >>>Yule jamaa ana uwezo mkubwa sana, bado hatujapanga jina la albamu lakini nadhani kila kitu kikiwa tayari mashabiki watapewa taarifa, wasubirie tu’
Kupata zaidi aliyosema Tudd bonyeza play hapa chini…
ULIIKOSA HII YA TUNDA MAN KUHUSU SABABU ZA KUSHINDWA KUFANYA COLLABO NA FALL IPUPA WA CONGO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA