Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Maamuzi ya Rais Magufuli baada ya jamaa kusingiziwa kesi ya mauaji

on

March 14, 2019 Mkurugenzi mkuu wa mshtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amekutana na Waandishi wa habari Dodoma ili kutoa taarifa ya tukio la mwanachi wa Tabora Mussa Sadick aliyebambikiziwa kesi ya mauaji na taarifa yake kuchapishwa kwenye gazeti la majira ambapo Rais Magufuli baada ya kuisoma taarifa hiyo aliagiza uchunguzi wa haraka ufanywe kubaini ukweli wa tukio hilo.

BREAKING: MBUNGE JOSHUA NASSARI AMEVULIWA UBUNGE “NI MTORO”

Soma na hizi

Tupia Comments