Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 17: Muonekano wa nyumba atakayoishi Barack Obama baada ya kustaafu Urais
Share
Notification Show More
Latest News
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > PICHA 17: Muonekano wa nyumba atakayoishi Barack Obama baada ya kustaafu Urais
Habari za Mastaa

PICHA 17: Muonekano wa nyumba atakayoishi Barack Obama baada ya kustaafu Urais

December 7, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja na siku kadhaa zimebakia kwa Barack Obama kumaliza kipindi cha cha utawala wa miaka nane akiwa Rais wa Marekani, tayari imejulikana sehemu atakayokwenda kuishi yeye na familia yake baada ya kustaafu.

Nimezipata picha za muonekano wa ndani ya nyumba hiyo inayotajwa kuwa na gharama ya dola za Marekani milioni 5.3 ambazo ni zaidi ya shilingi za Tanzania bilioni 11 iliyopo jijini Washington DC.

Pamoja na ukubwa ulioizidi nyumba ya Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump, bado haijaifikia gharama zake wala nyumba ya Rais yeyote aliyewahi kutawala Marekani.

Nyumba ya Obama ilijengwa mwaka 1928, kwenye eneo la ukubwa wa futi 8,200 huku ikiwa na vyumba 9 vya kulala.

Nimekuwekea hapa picha za muonekano wa nyumba hiyo

obama-house-jpg-size-custom-crop-1086x726 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-2-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-3-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-4-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-5-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-6-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-7-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-8-1024x682 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-10-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-11 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-13-1024x682 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-15-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-17 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-18-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-19-1024x683 see-inside-obamas-new-5-3-million-washington-dc-home-21-1024x683

VIDEO: Huenda haufahamu kuhusu gharama zilizotumika kwenye malipo ya nyumba aliyoinunua Diamond Platnumz kwaajili ya familia yake Afrika Kusini. Tazama hapa.

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Barrack Obama, Diamond Platnumz, nyumba
Admin December 7, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Watanzania wanaofanana na Diamond, Ngwea, Balotelli, Bruno Mars, Chidi Benz, Hasheem walivyojitokeza
Next Article Kazi atakayofanya Cristiano Ronaldo baada ya kustaafu soka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023

March 27, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 25, 2023

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?