Habari za Mastaa

Mixtape ya Future & Drake imekupita? ‘What A Time To Be Alive’ imenifikia!

on

Ni siku tatu tu zimepita toka Drake awape mashabiki wake news kwamba Future na yeye wanaachia Mixtape pamoja… Na tarehe 20 September Drake aliandika kwenye page yake ya Instagram muda na saa ambapo mixtape hiyo itakuwa sokoni.

futch4

Future na Drake wakiwa studio.

Good news kwako mtu wangu, kama wewe ni shabiki mkubwa wa Future na Drake basi hii taarifa ikufikie, Mixtape ya wasanii hawa wawili tayari imetoka ikiwa na nyimbo 11 chache zikiwa; Live from the Gutta, Plastic Bag, Digital Dash, I’m the Plug na Change Locations.

futch3

Official track list ya Mixtape ya Future & Drake ‘What A Time To Be Alive”.

Nimefanikiwa pia kunasa video kupitia Instagram ya Future ikituonyesha sekunde 15 za mdundo wa mixtape yao mpya…

WHAT A TIME TO BE ALIVE A video posted by Future Hendrix (@future) on

Nimefanikiwa pia kuipata video ya hapo juu kwenye YouTube  Future na Drake kupitia YouTube... nimekuwekea mixtape hiyo hapa chini bonyeza play kuisikiliza.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata piausisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments