Habari za Mastaa

Weekend hii Future anataka wimbo huu uwe kwenye Playlist yako; ‘Stick Talk’ – (Video)!

on

Ni FurahiDay mtu wangu na msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Future anaziteka headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Msanii huyo ambaye pia ni kiongozi wa kundi la muziki liitwalo Freebandz Gang anapanga kudondosha mixtape yake mpya iliyopewa jina Monster 2 hivi karibuni!

FUU2

Ukiacha hayo, Future karudi na single mpya Ijumaa hii, wimbo unaitwa ‘Stick Talk’ , wimbo huu pia unapatikana kwenye Album ya rapper huyo, DS2, Album ambayo ilifanikiwa kugusa No. 1 kwenye chati mbalimbali Marekani ikiwemo chati ya Billboard 200 ya Marekani.

Official music video ya ‘Stick Talk’ ipo hewani tayari lakini kama hujabahatika kukutana nayo mpaka muda huu, basi karibu uicheki video hiyo hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments