Habari za Mastaa

Mwigizaji Wema Sepetu kwenye jarida kubwa nchini Kenya

on

Ni mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu ambae amekuwa akitajwa mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii sasa time hii ame cover jarida kubwa liitwalo True Love Magazine  East Africa la nchini Kenya.

Jarida hilo jipya linatarajiwa kuachiwa rasmi kwenye msimu wa Pasaka ambapo kupitia ukurasa wa instagram wamiliki wa jarida hilo waliyaandika haya…>>>>’This month Tanzania’s Sweetheart, the gorgeous @wemasepetu graces our cover. She opens up about Money, Men, Love and Loss. Be sure to grab a copy to see what she has been up to and also read about Easter plans and gateways. Happy new month’- True Love Magazine  East Africa

ULIIKOSA HAYA MAJIBU YA BASATA KUHUSU SABABU ZA KUTOFANYIKA KWA TUZO ZA KTMA BASI ITAZAME..

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments