AyoTV

VIDEO: Kocha wa AS Kigali afichua siri iliyomfanya awaue KMC Taifa

on

Baada ya kumalizika kwa dakika 90 na AS Kigali kupata nafasi ya kusonga hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la shirikisho Afrika kwa kuwatoa KMC kwa kuwafunga magoli 2-1 uwanja wa Taifa, baada ya mchezo wao wa kwanza mjini Kigali kumalizika 0-0.

Kocha wa AS Kigali Eric Nshimiyimana ameeleza KMC waliwazidi sehemu kiasi cha kufanikiwa kufunga magoli 2-1 wakiwa ugenini, kitu ambacho baadhi ya watu hawakutegemea kama AS Kigali anaweza kupata matokeo chanya hapa kwani Kigali nyumbani kwake alishindwa.

VIDEO: Niyonzima kaeleza kilichotokea kati yake na Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments