AyoTV na millardayo.com imezungumza na Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Mlongazila Erick Muhumba ambapo tumezungumza nae juu ya gharama anazotozwa mtu ambaye anataka kupunguza uzito kwa njia ya kuweka puto.
Akiongea na AyoTV Dr. Muhumba ameweka wazi gharama yake pamoja kuelezea kama kuna madhara.