Michezo

Rashford kaendelea kumfanya Ole Gunnar Solsjaer aendelee kutabasamu

on

Marcus Rashford anaisadia Man United kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Carabao Cup kwa kufunga magoli mawili dhidi ya Chelsea, Rashford alifunga kwa mkwaju wa penati dakika ya 25 na akafunga jingine dakika ya 73 na kumfanya Solskjaer kuendelea kutabasamu.

Timu nane zilizofanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya michuano ya Carabao Cup ni Man United, Liverpool, Aston Villa, Man City, Everton, Leicester City, OXford United na .kwa upande wa Man United huu unakuwa ni ushindi wao wa tatu mfululizo baada ya kuwa na matokeo hasi katika mechi kadhaa nyuma.

AUDIO: Edo Kumwembe aeleza kocha anaestahili kuwa Yanga sio Zahera

Soma na hizi

Tupia Comments