Michezo

Celta Vigo Vs FC Barcelona matokeo ni haya, video ya magoli na pichaz zipo hapa mtu wangu

on

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Hispania FC Barcelona September 23 walikaribishwa na klabu ya Celta Vigo katika uwanja wake wa nyumbani Estadio de Balaídos, ikiwa ni  muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Hispania. FC Barcelona ikiwa na nyota wake kadhaa imekubali kipigo cha goli 4-1 dhidi ya klabu ya Celta Vigo.

489675550-e1443038326217

Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika klabu ya FC Barcelona ilikuwa nyuma kwa goli 2-0, mechi ambayo ilimalizika kwa klabu ya FC Barcelona kutoka vichwa chini kwa kipigo cha jumla ya magoli 4-0 dhidi Celta Vigo, magoli ya Celta Vigo yalifungwa na Nolito dakika ya 26, Iago Aspas dakika ya 30 na 56 huku goli la mwisho lilifungwa na John Guidetti dakika ya 83 baada ya Neymar kuifungia FC Barcelona goli la kufutia machozi dakika ya 80.

1971362_heroa

gerard-pique-luis-suarez-celta-vigo-barcelona-la-liga-09232015_1dez56ph0oats1n5c463xg3rds

IMG_8807.JPG

Hii ni video ya magoli ya Celta Vigo na FC Bacelona

https://youtu.be/HtaH87NWCV0

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE

Tupia Comments