AyoTV

Kaiunganisha Tanzania na Marekani, ni time ya kumjua vizuri Ernest Napoleon (video)

on

NapoleoneErnest Napolion ni Mtanzania ambaye amethubutu na akaweza japo hajafika, alikua mtangazaji wa EATV mwanzoni mwa miaka ya 2000 na baadae akaondoka Tanzania, kakaa Marekani na akachukua huu ujuzi, historia yake imenivutia sana.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments