Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Makonda akabidhiwa lile jengo la Mwananyamala, asema kwanini anajiweka karibu na Matajiri
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Makonda akabidhiwa lile jengo la Mwananyamala, asema kwanini anajiweka karibu na Matajiri
Mix

Makonda akabidhiwa lile jengo la Mwananyamala, asema kwanini anajiweka karibu na Matajiri

January 29, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

March 13 2016, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifungua rasmi ujenzi wa jengo la upasuaji wa Wagonjwa mahututi na mapumziko katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam na wakati huo alikua mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Leo January 29 2017  GSM FOUNDATION ambao ndio wamejitolea kwa hali na mali kulijenga jengo hilo kwa pesa za kitanzania MILIONI 420, wamemkabidhi Paul Makonda likiwa limekamilika.

Baada ya kukabidhiwa Mkuu wa mkoa Makonda akasema ‘Nimekabidhiwa jengo hili likiwa limekamilika hata mwaka haujaisha na hili ndio kusudi la Rais wetu John Pombe Magufuli watu wafanye kazi, nawashukuru sana GSM Foundation kwa mradi huu ambao utasaidia kupunguza vifo vya Mama na Mtoto‘

‘Mkimuona mkuu wa mkoa yuko na Wafanyabiashara jua yuko kwa maslahi yenu, yani ukiona tu kuna tajiritajiri flani amekaa na mkuu wa mkoa jua tu hapo Mkuu wa mkoa anampigia mahesabu ya kumuweka kwenye 18 ili mambo ya mkoa wetu yaende’ – Paul Makonda

TAZAMA JENGO LENYEWE KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI NA KUMSIKILIZA ZAIDI PAUL MAKONDA 

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: Dar es salaam NEWS
Admin January 29, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 4: Yanga wameiondoa Simba kileleni kwa magoli ya Obrey Chirwa
Next Article VIDEO: Watoto wafamilia moja walivyoipeleka Ghana nusu fainali ya AFCON 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?