Mapema leo August 26, 2017 kulikuwa na habari zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao kuwa Ofisi za IMMMA Advocates zinazotumiwa na Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto alfajiri ya leo.
Ayo TV na millardayo.com zimefika eneo la tukio kufuatilia ambapo bado Polisi wanaendelea na shughuli za uchunguzi kujua chanzo cha moto huo…tazama kwenye hii video.
Polisi walivyomzuia Wakili Fatma Karume kuzungumza baada ya Lissu kuachiwa…