Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Mazoezi ya Mwisho ya Taifa Stars kabla ya kuivaa Kenya

on

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya kuwasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano dhidi ya Harambee Stars wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani 2020 zitakazofanyika nchini Cameroon, leo wamefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Kasarani utakaochezewa mchezo wa marudiano.

VIDEO:RAIS WA TFF KATUA NAIROBI “HAKUNA FITNA ILIYOFANYIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments