Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mbao FC wamefanikiwa kuituliza Simba kwa mara ya kwanza leo
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Mbao FC wamefanikiwa kuituliza Simba kwa mara ya kwanza leo
Sports

Mbao FC wamefanikiwa kuituliza Simba kwa mara ya kwanza leo

September 21, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Wekundu wa Msimbazi Simba leo Alhamisi ya September 21 2017 walikuwa Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba kucheza mchezo wao wa nne wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 dhidi ya Mbao FC.

Simba ambao waliingia katika uwanja huo kwa tahadhari kubwa kutokana na Mbao FC  kuwa na historia ya kuwasumbua, wamejikuta wakiambulia sare ya kufungana magoli 2-2 licha ya kuongoza kwa 2-1 hadi dakika ya 80.

Magoli ya Simba yalifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 16 na James Kotei dakika ya 48 wakati magoli ya Mbao FC yalifungwa na Habib Kiyombo 45 na Boniface Maganga dakika ya 81, Simba ndio mara ya kwanza inashindwa kutoka na ushindi dhidi ya Mbao FC wakiwa wamewahi kucheza michezo mitatu.

Katika michezo hiyo mitatu ya mashindano yote Simba aliyocheza dhidi ya Mbao FC alifanikiwa kushinda yote ya Ligi Kuu alishinda 1-0 mchezo wa kwanza na CCM Kirumba akashinda kwa 3-2 na mchezo wao wa mwisho wa fainali ya FA katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na Simba kupata ushindi wa 2-1.

ALL GOALS: Simba vs Mwadui FC September 17 2017, Full Time 3-0

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA September 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BREAKING: Serikali imesema iko tayari kugharamia matibabu ya Lissu
Next Article Zitto Kabwe mbele ya Kamati ya Bunge, Hoja moja kaitolea mifano 10
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?